
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA)Alphayo Kidata akifafanua kwa waandishi wa habari leo jijini Dar jinsi Mamlaka hiyo ilivyofanikiwa kukusanya mapato kutoka trilioni 1.2 kwa mwezi Disemba mpaka trilioni 1 na bilioni 79 kwa mwezi Januari na kwa mwezi Februari wanatarajia kukusanya trilioni 1.013 na tayari wamefikia nusu ya malengo waliyojiwekea.
Sign up here with your email