KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA ANENA LEO. - Rhevan Media

KATIBU MKUU WIZARA YA FEDHA ANENA LEO.



Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt.Servacius Likwelile (kushoto)akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar ambapo amesema kuwa wizara hiyo imeendelea kufanya vizuri katika ukusanyaji wa mapato na katika kipindi cha mwezi Februari mwaka huu.Zimekusanywa zaidi ya Sh. trilioni 1 tofauti na mwanzo ambapo zilikuwa zkikusanywa Sh.bil 850.:Kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Waziri wa Afya, Maendeleo, Jinsia, Watoto na Wazee Mpoki Ulusubisya.
Previous
Next Post »