
SERIKALI: Marufuku shule zote binafsi kuongeza kiwango cha ada mwaka huu wa masomo. Zilizopandisha ada kinyume na tamko la Serikali kusitisha mara moja.
Serikali imesema imemuajiri mtaalamu mwelekezi atakayefanya kazi ya kubaini gharama za kumsomesha kila mtoto ili kuisaidia Serikali kupanga ada elekezi.
Sign up here with your email