
Jaji Mkuu Othman Chande ametoa siku saba kwa mahakimu 508, watoe maelezo kwa nini wasifunguliwe mashtaka kwa kufanya kazi chini ya kiwango
Alisema kiwango cha kesi kwa kila Hakimu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi na Mahakama ya Wilaya ni 250, ambapo Mahakimu Wakazi 121 kwenye mahakama hizo wameamua kesi chini ya 100 mwaka jana.
Sign up here with your email