
Rais Magufuli atoa mpaka saa 12 leo jioni, Mawaziri 4 na Naibu waziri mmoja wawe wamerejesha fomu za maadili kwa Tume, wakishindwa watakuwa wamejifukuzisha
Mawaziri hao ni Charles Kitwanga, January Makamba, Joyce Ndalichako, Agustine Mahiga na Luhaga Mpina
Sign up here with your email