
Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Jaji Mstaafu Salome Kaganda amesema kuwa kuna baadhi ya Mawaziri na Manaibu Waziri ambao hawajajaza fomu za maadili mpaka leo kama sheria inavyowataka. Jaji Kaganda amemkabidhi Waziri Mkuu majina ya Mawaziri hao ambao wanakwepa kujaza fomu za maadili
Sign up here with your email