
Rais Magufuli, juzi jioni alifanya ziara ya kushtukiza eneo Feri akiwa na magari mawili tu na walinzi wake watano na kuzua taharuki. Haikujulikana mara moja alikwenda kufanya nini eneo hilo, lakini kwa mujibu wa video fupi iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii, ameonekana akitoka kwenye ofisi za (Temesa) na kwenda kuwasalimu wananchi waliokuwa wakisubiri kivuko kwenda upande wa Kigamboni.
Sign up here with your email
