POLISI WAPONGEZANA KUPATA VYEO. - Rhevan Media

POLISI WAPONGEZANA KUPATA VYEO.



Mkuu wa Jeshi la Polisi,IGP Ernest Mangu(kushoto)akimpongeza Kamishna wa Operesheni na Mafunzo,CP Nsato Marijani :baada ya kumuapisha leo Makao makuu ya Jeshi la Polisi. CP Nsato Marijani amepandishwa cheo na Rais na Amiri Jeshi Mkuu kutoka Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi na kuwa Kamishna wa Polisi ambapo pia amemteua kuwa Kamishna wa Operesheni na Mafunzo
Previous
Next Post »