PATA KUZIPITIA STORY KUBWA ZA SIKU MAGAZETINI FEB 18. - Rhevan Media

PATA KUZIPITIA STORY KUBWA ZA SIKU MAGAZETINI FEB 18.


Ulinzi kambi ya Yanga ni kama jeshini, ikiwa ni maandalizi ya mchezo wao wa jumamosi dhidi ya Simba.Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa onyo kwa mashabiki wa soka, kuhusu kuharibu miundombinu ya Uwanja wa Taifa.Polisi k'ndoni kuanzisha vituo vya polisi 13 vinavyohama kwenye maeneo hatarishi kiusalama









































































Previous
Next Post »