
Nyota wa Real Madrid leo amechukua Tuzo ya Pichichi baada ya kuibuka mfungaji Bora wa La Liga Msimu uliopita, alifunga magoli 48. Hii ni mara ya 3 mreno huyo anachukua Tuzo hiyo . "Marca Awards"ni tuzo zinazotolewa na gazeti la michezo la Marca la nchini Hispania
Sign up here with your email