
Mgogoro wa Z'bar sio jipu la kutumbuliwa; ni maradhi ya kibaguzi yenye madhara ya kisiasa. Tiba lake ni la kisiasa: mazungumzo bila masharti.Hii pia inazungumzika. Izungumzwe. Yakitokea machafuko watakaoathirika ni watu wa hali ya chini.
Sign up here with your email