KIKOSI CHA YANGA CHATAFUTA PORI LA KUJIFICHA. rhevanstudio 11:20:00 rhevanstudio Kikosi cha timu ya yanga baada ya mechi ya nchini Mauritius sasa waweka kambi visiwani Zanzibar ili kushusha kipigo ligi kuu kwa timu pinzani kabla ya mechi ya marudiano wiki mbili zijazo. Tweet Share Share Share Share Sign up here with your email