MSANII WA TAARABU ISHA MASHAUZI APATA PIGO. - Rhevan Media

MSANII WA TAARABU ISHA MASHAUZI APATA PIGO.



Mzee Ramadhan Makongo ambaye pia ni baba wa mwimbaji Saida Ramadhan na Aisha Ramadhani, alifariki dunia jana katika hospitali ya Muhimbili alikokuwa amelazwa.
Baadhi ya mashabiki na wadau wa muziki wa taarabu wamewapa pole wafiwa wote huku wakiwataka kuwa na moyo wa uvumilivu katika kipindi hiki kigumu kwao baada ya kumpoteza mzazi wao.

Previous
Next Post »