MSANII WA BONGO FLEVA AVUNJIWA VIOO VYA GARI KISA NYIMBO ALIYOTOA. - Rhevan Media

MSANII WA BONGO FLEVA AVUNJIWA VIOO VYA GARI KISA NYIMBO ALIYOTOA.


Nimevunjiwa kio Cha gari nikiwa njia naenda kwenye Intrvw Chanel5 EaTv kwa ajili ya kutambulisha my New Video #ShikaAdabuYako sorry Watu wangu mliokua mkisubiri kuona Video Na Intrvw yote nimeshindwa kufika naweka sawa ili. Video itaenda YouTube kesho itakua kwenye Tv yako Pendwa. Muziki sio vita..... I will never stop doing what i do.!!

Previous
Next Post »