HABARI KUBWA YA KUSIKITISHA KWA WAPENZI HAWA. rhevanstudio 03:08:00 rhevanstudio kwa masikitiko makubwa tukio tajwa hapo chini limetokea Chuo cha SAUT mwanza ambapo mwanafunzi wa jinsia ya kiume ,alienda kumtembelea mpenzi wake chuoni SAUT bweni la RUGAMBWA,baada ya kufika katika kuangalia simu ya mpenzi wake alikuta sms ya mwanaume mwingine ambapo,alichukia na kuamua kuondoka na simu ya mpenzi wake.Alichokifanya binti huyo aliita MWIZI ,watu walikuja na kupiga bila kuuliza Tweet Share Share Share Share Sign up here with your email