
Big Match leo kwenye ligi ya Bundesliga kati ya wabishi Bayer Leverkusen Vs mabingwa Bayern Munich. Licha ya kutofautiana kwa point nyingi lakini hii inatajwa kuwa itakua ni moja ya mechi bora za Bundesliga msimu huu. Mechi inaoneka exclusive kwenye 20:30 kwa saa za Tz
Sign up here with your email