JIPU LA MUDA MREFU LATUMBULIWA. - Rhevan Media

JIPU LA MUDA MREFU LATUMBULIWA.

Embedded image permalink
Mamlaka ya uthibiti wa mifuko ya jamii SSRA yaipa siku ishirini na moja mifuko yote ya hifadhi za jamii kulipa madai yote ya wateja wao.Mifuko hiyo ni NSSF,NHIF,GEPF,WCF,PSPF NA LAPF.Agizo hilo llimekuja baada ya malalamiko ya muda mrefu ya wateja.
Previous
Next Post »