
Katika majiji yanayokuwa kwa kasi barani Afrika, jiji la Dar ni miongoni lakini ukuaji wake hauendani na hali nzima ya usafi,halmashauri ya jiji wamekuja na kitu kinachoitwa 'smart area' ambapo mtu akionekana anatupa uchafu faini elfu hamsini
Sign up here with your email