
Aliyekuwa Jaji Mkuu wa Tanzania, Agustino Ramadhani amesema utaratibu uliotumiwa na kamati kuu ya CCM(CC) wa kukata majina katika uteuzi wa Urais haukuwa wa haki. Amesema amepanga kwenda kuonana na uongozi wa juu hivi karibuni kutokana na kile alichosema hakubaliani na mambo ndani ya chama hicho tawala.
Sign up here with your email