HUDDAH MONROE AVUNJA REKODI YA UFUSKA. - Rhevan Media

HUDDAH MONROE AVUNJA REKODI YA UFUSKA.



Colonel Moustapha
Mustafa ameyazungumza hayo kupitia kipindi cha Friday Night Live kinachorushwa na EATV na EA Radio kila ijumaa, Pale alipo ulizwa kuhusiana na tetesi zilizokuwepo juu ya mahusiano yake na Huddah Monroe.
"Nilikuwa na mahusiano na Huddah... tuli sex hata mara 50... Huddah she's fine kitandani, Nafikiri amepelekwa unyagoni kidogo" Alisema Mustafa.
Lakini pia Mustafa alieleza juu ya skendo iliyo mkabili siku za nyuma kuhusiana na suala la kuwazalilisha wasichana hasa kupitia kwenye video yake ya Singida Dodoma ambayo ilizuiliwa kuchezwa kwenye television za Kenya.
Aliye kuza maneno ya staa huyo kuwa alikuwa akizalilisha wasichana ni staa Nyota Ndogo kutoka nchini Kenya, Lakini Mustafa alikuwa alisema huenda Nyota Ndogo atakuwa anamtaka "Nyota Ndogo ana mambo yake... anapenda kunifuatilia... ananitaka".
Mustafa alikanusha kuzalilisha wasichana kwenye video hiyo kwakuwa wasichana wote walio onekana kwenye video hiyo ni ma video vixine ambao aliwalipa karibu shilingi millioni mbili za Kitanzania.
Katika mastaa wa hapa bongo ambao Mustafa anawakubali na anawish kufanya nao colaboration ni Diamond platmuz, AY, pamoja na Navy Kenzo.
Previous
Next Post »