
KALAMU YA @nikkwapili KUFELI AU KUFAULU...KWA MWANAFUNZI HAKUTOKANI NA UWEZO WA KIAKILI... Tofauti kubwa kati ya mwanafunzi anayefaulu na anayefeli ni msukumo wa kusoma alionao mwanafunzi husika, anayefaulu anakuwa na msukumo mkubwa wa kusoma ndani yake utakaompelekea kutumia nguvu kubwa kujifunza, na anayefeli anakuwa na msukumo mdogo, atatumia nguvu ndogo na focus ndogo. JE huu msukumo hutoka wapi? kwa wazazi, walimu, ndugu, role modes, na kwenye jamii kwa ujumla. Kama 76% ya wanafunzi waliomaliza (form 4) wamefeli hii inamanisha msukumo wa kusoma ni mdogo less beauty(hauvutii) ukilinganisha na msukomo wa kutokusoma na mambo mengine ya kidunia yanayochukua muda mwingi na akili na nguvu za wanafunzi. Kwa nini msukumo wa kusoma ni mdogo na hauvutii (hauko sexy hautongozi hisia za wanafunzi)....??? kwakuwa mzazi/jamii huongea juu ya matokeo ya kusoma "soma uje upate maisha mazuri"..nakushau kueleza the beauty(uzuri ama utamu) wa mchakato wenyewe wa kusoma, walimu hufundisha bila kuinspire,bila kutongoza hisia za wanafunzi, awe anauwaza mchakato wa kujifunza kila anapolala, au kutembea na kutamani kuufanya kila siku. NGOJA nieleze kidogo kwa mifano the beauty (uzuri au sexiness) ya mchakato wa kusoma ili nieleweke nasema nini..(na maanisha mchakato the process sio masomo yenyewe)....(ni mwazo yangu lakini sio lazima niwe sahihi) Nianze na "Kukariri" kama sehemu kubwa ya mchakato wa kusoma Tanzania. ..mwanafunzi Anapokuwa anakariri masomo yake...pia kuna uwezo anaujenga ndani yake(kuna utamu wake)....mfano mimi kukariri kunaniwezesha leo nakariri nyimbo zaidi ya ishirini kichwani, naweza kuandika wimbo kichwani bila peni wala daftari, kukariri kutakusaidia kuja kuwa bingwa wa kutowa hotuba (speech) bila kusoma, kutakuwezesha kufanya presentation nakadhalika....mwanafunzi anapo kariri atambue pia anajijenga akitambua hivyo hata chukia hilo zoezi, "KUANDIKA NOTES" Unapoandika notes wakati mwalimu anafundisha...ndio kujifunza kuja kuwa mwandishi wa habari, msaidizi wa raisi ama waziri, ama msaidizi wa boss, ama kuwa mtafiti....mwanafunzi akijuwa hili atapenda zaidi na zaidi kuwa anaandika notes, "KUSOMA KITABU" Unaposoma kitabu....haijalishi unasoma nini...unaj
Sign up here with your email
