FAHAMU SABABU YA WAZIRI KUMFUKUZA KAZI KIGOGO WA TBC - Rhevan Media

FAHAMU SABABU YA WAZIRI KUMFUKUZA KAZI KIGOGO WA TBC



Kwamba moja ya sababu ya baadhi ya wakurugenzi wa TBC kuondolewa katika nafasi zao na waziri Nape ni kutokana na kushindwa kuipika ipasavyo habari ya wiki iliyopita ya raisi Magufuli katika hospital ya Muhimbili.
Kwa mujibu wa Nape aliyenukuliwa na gazeti la Tanzania Daima la leo,siku hiyo TBC waliirusha habari ya Raisi kwa ufupi sana tena bila picha huku kituo cha Channel Ten kikiirusha kwa undani,kikionesha na picha.Kurusha story bila picha ni moja ya sababu iliyowagharimu baadhi ya wakuu wa vipindi TBC.
Previous
Next Post »