DRC KONGO WASHIND KOMBE LA CHAN. - Rhevan Media

DRC KONGO WASHIND KOMBE LA CHAN.

Embedded image permalink
Timu ya nchini Congo imeshinda kumbe la Chan baada ya kichapa Mali magoli mawili yaliofungwa na Jonathan Bolinga na Meshaki Elia.Wamejizolea dola za marekani 750000.huku Mali wakichuku dola 400000 na mshindi wa tatu Ivory Cost amejinyakulia dola 250000.Nchi ya Tanzania ilitolewa hatua za awali makundi.
Previous
Next Post »