DIAMOND PLATNUM AJITAMBA KULITEKA SOKO WEST AFRIKA. - Rhevan Media

DIAMOND PLATNUM AJITAMBA KULITEKA SOKO WEST AFRIKA.


Diamond Platnum amejitamba kuliteka soko la West AFrika baada ya kuachia nyimbo hii mpya siku ya Ijumaa,ameongeza ndoto yake kubwa ilikuu hii ya kuusambaza mziki wa Tanzania pande zote za Dunia.