BASATA WASEMA AKILI ZA NAY WA MITEGO HAWAZIELEWI. - Rhevan Media

BASATA WASEMA AKILI ZA NAY WA MITEGO HAWAZIELEWI.


BASATA WAMESEMA WANASHINDWA KUJUA NAY ANA AKILI ZA AINA GANI!!! Huenda kilichotokea kwa ROMA kikamkumba NAY WA MITEGO baada ya BARAZA LA SANAA TANZANIA BASATA kutoa mtazamo wao kuhusu ngoma mpya ya nay #shikaadabuyako"....YAANI NI KWAMBA TU NI WIMBO AMBAO HAUFAI,NA NI MSANII TU AMBAYE ,I DONT KNOW,UNASHINDWA KUMPIMA,UNASHINDWA KWAMBA ANA AKILI YA NAMNA GANI...." amesema KATIBU MTENDAJI BASATA. Akizungumza mda mfupi uliopita katibu mtendaji wa BASATA Godfrey Lebejo amesema wimbo huo hata bila ya kutolewa Tamko na Baraza lakini haufai kabisa kupigwa redioni. Bw .Lebejo amekiri kuusikia wimbo huu asubuhi ya Leo na kusema hii ni changamoto ya teknolojia na mfumo ambao kila mtu anaweza kuchukua tu simu yake akajirekodi na akatoa wimbo. Amemtaka nay kujitambua na kuitambua nafasi yake katka jamii kwasababu anadhani anadhalilisha wengine kumbe hata yeye anajidhalilisha. "...anadhani kwamba anamdhalilisha MTU lakini kumbe yeye mwenyewe anajidhalilisha .kwahiyo yeye wenyewe ni kama mtu HAYAWANI FLANI TU ....alisema LEBEJO. SIKU MOJA TU BAADA YA NGOMA YA NAY KUTOKA IMEZUA TENTION KUBWA MITANDAONI KUTOKANA NA KUWACHANA BAADHI YA WATU WAKIWEMO WASANII WENZAKE NA BASATA WENYEWE. TAyari Ommy dimpoz ambaye ni mmoja waliochanwa kwenye ngoma alishajibu kupitia humu #IG na kutupa madongo ya kutosha kwa Nay. Hata hivyo huu siyo mtindo mpya kwa Nay katika uandishi wake kwasababu amekuwa akifanya hivi tangu ngoma yake ya kwanza kumtoa na hata zilizofata