BONDIA MAARUFU KURUDI TENA ULINGONI. - Rhevan Media

BONDIA MAARUFU KURUDI TENA ULINGONI.


Bondia 'Frank Bruno' kurejea tena ulingoni. Mwanamasumbwi muingereza "Frank Bruno" ame confirm kurudi tena ulingoni kuendelea na masumbwi, bondia huyo aliyevuma sana miaka ya 1990 kwa uwezo wake sasa amethibitisha kurejea tena ulingoni ingawa watoto wake (Rachel na Nicola) wamemkataza baba yao asirudi kwenye ring. Bruno alistaafu ubondia mwaka 1996 baada ya kupigwa na Mike Tyson akiwa na umri wa miaka 34 katika pambano lilofahamika kama 'Heavyweight', pia baada pambano hilo alianza kusumbuliwa na matatizo ya kiafya Sasa anataka kurejea tena kwenye ulingo akiwa na umri wa miaka 54. Je ataweza kuendana na mabondia wa sasa..?
Previous
Next Post »