WHO KUPITISHA DAWA YA MAJI KUONGEZA SIKU ZA KUISHI KWA WAATHIRIKA. - Rhevan Media

WHO KUPITISHA DAWA YA MAJI KUONGEZA SIKU ZA KUISHI KWA WAATHIRIKA.



Serikali: Tunaisubiri WHO ili tupitishe matumizi ya dawa ya UKIMWI ya kimiminika (PrEP), iliyotangazwa juzi na vyombo vya Habari.
Dawa hiyo inatarajiwa kuleta faraja kwa wenza ambao mmoja anaishi na virusi vya UKIMWI huku mwingine akiwa hana.
Previous
Next Post »