Waziri Mkuu,Kassim Majliwa akitia saini kitabu cha Maombolezo ya kifo cha Mbunge wa zamani,Leticia Nyerere
Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa na mkewe Mary(kulia)wakiagana na mjane wa Baba wa taifa, Mama Maria Nyerere wakati walipokwenda nyumbani kwa Baba wa taifa,Msasani jijini Dar es salaam Jana kuhani msiba wa Mbunge wa zamani, Leticia Nyerere.
Sign up here with your email