Waziri wa Ardhi,Nyumba Wiliam Lukuvi akitangaza Zawadi ya Kiwanja na Pesa ambazo serikali imemzawadia.Kiwanja kilichopo Kigambonijijini Dar na fedha taslimu ambazo kiasi
chake hakijafahamika hayo yamesemwa na Waziri wa Ardhi Wiliam Lukuvi.
Mchezaji Mbwana Samatta aliyejishindia Tuzo ya Mchezaji Bora wa Afrika kwa wachezaji wa ndani akimkabidhi jezi.
Sign up here with your email