Kikundi cha kigaidi cha kiislam ISIS hivi karibuni kimekuwa kikiwatumia watoto wadogo katika kutekeleza matendo na matukio ya kigaidi.Zaidi ya mamia ya watoto wamekuwa wakipewa madawa pamoja na kufundishwa matendo ya kinyama ikiwemo kuuwa wale wasio amini katika Uislam.Umoja wa mataifa umekiri watoto umri wa miaka kumi na mbili wamekuwa wakitumika katika vitendo vya kigaidi.
Sign up here with your email