Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi(NEC)Jaji Mstaafu Damian Lubuva akiongea na Wajumbe wa Baraza.Wafanyakazi wa NEC leo katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere uliopo Jijini Dar es Salaam wakati alipofungua Mkutano wa Wajumbe wa Baraza hilo.Uliojadili mambo mengi yakiwemo Afya,rushwa ufanisi kazini na Utawala bora. Kushoto ni Mkurugenzi wa Uchaguzi Bwana. Ramadhani Kailima.
Sign up here with your email