Naibu Kamishna na Msemaji wa Idara ya Uhamiaji Abbas Irovya akitoa wito kwa Watanzania kuwafichua wale wote.wanaoingia na kuishi nchini kinyume cha sheria ili hatua stahiki ziweze kuchukuliwa kwa mujibu wa Sheria na kanuni na kusisitiza.kuwa Ofisiyake itaendelea kufanya oparesheni ya kuwakamata watu hao,kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa idara ya Habari MAELEZO Zamaradi Kawawa
Sign up here with your email