MBOWE : MADAKTARI WANAPIGANA KUNUOKOA TUNDU LISSU NAIROBI - Rhevan Media

MBOWE : MADAKTARI WANAPIGANA KUNUOKOA TUNDU LISSU NAIROBI


Tokeo la picha la MBOWE TUNDU LISSU
Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu ambaye alipigwa risasi Alhamisi mjini Dodoma, Nairobi anaendelea kupokea matibabu alikolazwa mjini Nairobi.
Kufikia saa 10 alasiri, madaktari walikuwa bado wanaendela na upasuaji wa zaidi ya saa 4 wakijaribu kutoa risasi 21 zilizokuwa zimemdhuru kiongozi huyo wa upinzani.
Mwandishi wetu Idris Situma amezungumza na mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe ambaye aliongoza shughuli nzima ya kumkimbiza bwana Lissu Nairobi, na alianza kwa kumuuliza hali halisi ya mgonjwa ikoje?
Previous
Next Post »