MOROGORO: Rais Magufuli amewataka waliobinafsishwa viwanda Mkoani humo na kushindwa kuviendeleza wavirejeshe Serikalini ili wapewe wengine. Wakati huo huo, Rais ametoa agizo kuwa wafanyabiashara ndogondogo katika Stendi ya Mabasi Msamvu, waachwe waendelee na biashara zao.