VIDEO : ACACIA HAWAJAKUBALI KULIPA CHOCHOTE MBUNGE LIJUAKALI - Rhevan Media

VIDEO : ACACIA HAWAJAKUBALI KULIPA CHOCHOTE MBUNGE LIJUAKALI

Mbunge Lijualikali
Kwenye Exclussive Interview na Mbunge wa Kilombero Peter Lijualikali amesema kuwa Kampuni Mshirika wa Acacia (Barrick) haikukubali moja kwa moja kulipa Deni wanalodaiwa na Serikali kutokana na Makubaliano ya awali ya serikali na Kampuni hiyo.

Lijualika amesema kuwa ukifuatilia taarifa ya Kampuni hiyo imeeleza wazi kuwa Kampuni hiyo itakuwa ridhaa kulipa deni litakalopatikana baada ya kupitia kwa pamoja ripoti ya kamati, na kwamba kukubali kitendo cha kuipitia ripoti hiyo ni kwamba wana uhakika watashinda madai yote kwakuwa watakuwa wamepewa fursa ya kujieleza na Mwisho wa Siku hawatokubali... Video: 
Previous
Next Post »