Benki ya Philippines Islands BPI inasema kuwa tatazo kubwa la mtandao limesababisha pesa kutoweka na pia kuongezeka kwa akaunti za wateja nchini Ufilipino
Tatizo hilo lilisababisha kutoweka kwa maelfu ya pesa za ufilipino, huku baadhi ya watu wakiripoti kuwa walipoteza pesa zote.
Mkurugenzi mkuu wa BPI Cezar Consing, aliomba msamaha siku ya Jumatano wakati wa mahojiano na kituo kimoja cha runinga.
- Mfahamu rais Duterte, kiongozi aliyemtusi Obama
- Manuwari za China zawasili Ufilipino
- Jeshi la Ufilipino laahidi kushinda vita dhidi ya waasi
"Huu sio ukukuzua, hili ni tatizo la ndani," alisema.
Walio na qkaunti katika benki hiyo waliandika katika mitandao ya kijamii wakisema kuwa walipoteza hadi doa 80.
Benki ya BPI ilisema kuwa baadhi ya wateja walishuhudia akaunti zao zikipoteza pesa mara mbuili au zikiongezwa pesa mara dufu.
Sign up here with your email