NAIBU GAVANA DKT YAMUNGU KAYANDABILA AANZA KAZI RASMI BOT - Rhevan Media

NAIBU GAVANA DKT YAMUNGU KAYANDABILA AANZA KAZI RASMI BOT

1496837221-no 1

Naibu Gavana mteule wa Benki Kuu ya Tanzania Dkt. Yamungu Mahwago Kayandabila amewataka Wafanyakazi wa Benki Kuu ya Tanzania kufanyakazi kwa ushirikiano kwa lengo la kuinua tija na ufanisi kazini kwa  minajili ya kukuza uchumi wa nchi na kuongeza pato la Taifa.
Dkt. Kayandabila ameyasema hayo katika mahojiano mafupi mara baada ya kufika katika Benki Kuu ya Tanzania akiwa ni Naibu gavana anayesimamia masuala ya Uchumi na Sera za Fedha, kufuatia uteuzi uliofanywa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli hivi karibuni.
NaibuGavanaamesemakuwakwasasaBenkikuuinapaswaijiendeshekisasa Zaidi kutokananamaendeleoyaTeknolojiayanayoendeleadunianikotenakuachananailemisingiyakizamaniilikuwezakutimizajukumu la msingi la Benkikuu la kutekeleza Sera yafedhanchini.
Aidha, Dkt. KayandabilaamemshukurusanaRaisMagufulikwaimanikubwaaliyonayokwakekwakuanzakumteuwakuwaKatibuMkuuWizarayaArdhinahatimayesasakamteuwakuwaNaibuGavanakatikaTaasisihiimuhimunanyetiyaBenkiKuuya Tanzania, nahivyonaibugavanahuyoameahidikuendeleakufanyakazikwa bidi zaidikwamanufaayawatanzaniawote.
AlipowasiliMakaomakuuyaBenkiKuuya Tanzania, NaibuGavanaYamunguKayandabilaalipokelewanaMkurugenziwaUtumishinauendeshajiBw. Yahya Mchujuko, KaimuMenejawaIdarayaUhusianowaUmmanaItifaki Bi. Anna Mlatie Na MenejaMsaidiziIdarayaUhusianowaUmma Bi. Vicky Msina nakishaalionananaNaibuGavana Julian Banzi Raphael kwamazungumzomafupi, ambapoalimkaribishakuwammojawawanafamiliawaBenkiKuunakumwahidikuwaatapataushirikianostahiliutakaomwezeshakufanyakazizakekwawakatiwotendaniya BOT.
Previous
Next Post »