MELI YA KIJESHI YA MAREKANI YAGONGANA NA YA MIZIGO , WANAJESHI 7 HAWAJULIKANI WALIKO - Rhevan Media

MELI YA KIJESHI YA MAREKANI YAGONGANA NA YA MIZIGO , WANAJESHI 7 HAWAJULIKANI WALIKO

damages on the guided missile destroyer USS Fitzgerald off the Shimoda coast after it collided with a Philippine-flagged container ship on June 17, 2017.
Haki miliki ya pichaAFP/GETTY IMAGES
Wanajeshi saba wanamaji wa Marekani hawajulikani waliko baada ya meli yao USS Fitzgerald, kugongana na meli ya mizigo iliyokuwa na bendera ya Ufilipino, katika pwani ya mashariki mwa Japan.
Walinzi wa pwani ya Japan wametuma maboti tano na ndege mbili katika eneo hilo kusaidia katika shughuli za uokozi.
Msemaji wa jeshi la maji la Marekani, amesema huenda maafisa hao wako sehemu za ndani za zilizofungwa ili kuzuia maji zaidi kuingia ndani ya manuari hiyo.
Route of ACX Crystal ship before collision with USS Fitzgerald - 16 June 2017Haki miliki ya pichaMARINETRAFFIC.COM
Image captionMeli ya ACX Crystal iliontkana kugeuka kabl aya jali hiyo kabla ya kuelekea mjini Tokyo
Hakuna taarifa zozote zilizotolewa juu ya meli ya pili iliyokuwa na bendera ya Ufilipino ACX Crystal.
Kati ya waliojeruhiwa ni kamanda wa meli ya Marekani ambaye alipelekwa hospitalini kwa njia ya helikopta
A handout photo made available by the 3rd Regional Coast Guard Headquarters shows the damaged container ship ACX Crystal after its collision with the US Navy destroyer USS FitzgeraldHaki miliki ya pichaEPA
Image captionUharibifu kwenye meli ya mizigo ya ACX
Meli hiyo ya kijeshi iligongwa na ile ya mizigo umbali wa kilomita 104 kusini magharibi mwa Yokosuka.
Picha zilionyesha uharibifu mkubwa kwenye meli ya kijeshi baada ya ajali hiyo.
A handout photo made available by JapanHaki miliki ya pichaEPA
Image captionWaliojeruhiwa wakiondolewa kutoka meli ya Japan
Haijulikani ni wapi meli hiyo ya urefu wa mita 154 ambayo ni ya kuharibu makombora ilikuwa ikielekea wakati huo.
Meli ya mizingo ya ACX Crystal yenye urefu wa mita 222 iliyokuwa ikipeperusha bendera ya Ufilipo ilikuwa ikisafiri kati ya miji ya Japan ya Nagoya na Tokyo.
Map of Japan showing Yokosuka
Image captionYokosuka
Previous
Next Post »