HABARI HIVI PUNDE : CUF WAMALIZA MGOGORO WAO - Rhevan Media

HABARI HIVI PUNDE : CUF WAMALIZA MGOGORO WAO

DAR: Chama cha Wananchi (CUF) kimesema mgogoro ndani ya chama hicho kuhusu wafuasi wa Prof. Lipumba na wa Maalim Seif sasa umekwisha, kazi iliyobaki ni kukijenga chama.
Previous
Next Post »