DC KINONDONI ASIMAMISHA SHUGHULI ZA UJENZI KWA SAA 720 - Rhevan Media

DC KINONDONI ASIMAMISHA SHUGHULI ZA UJENZI KWA SAA 720



Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Happi 
Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Happi  

Mabwepande. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Ally Happi ameagiza kusimamishwa kwa shughuli za ujenzi kwa siku 30 (sawa na saa 720) ili kupisha uhakiki wa maeneo ya mashamba na viwanja, katika maeneo ya Mji Mpya, Mbopo na Mabwepande.
Zuio hilo linakuja kutokana na zoezi la uhakiki litakaloanza kesho kwa wilaya ya Kinondoni.

Previous
Next Post »