SUGU AANZA KUNGURUMA BUNGENI BAJETI YA HABARI - Rhevan Media

SUGU AANZA KUNGURUMA BUNGENI BAJETI YA HABARI



Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi 
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi  

Dodoma.Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi amesema uhuru wa bahari nchini umeporomoka kwa kasi nchini tangu Serikali ya Awamu ya tano iingie mahakamani.
Amesema matukio ya kuwakamata watu wanaotumia haki yao kutoa maoni yameipa sifa mbaya nchi duniani kuwa hakuna uhuru wa vyombo vya habari.
Amesema hadi mwisho wa 2016 watu 10 walikuwa wameshtakiwa kwa kumkashifu Rais.







Previous
Next Post »