PICHA ZA WANAFUNZI 32 , WALIMU 2 NA DEREVA MMOJA SHULE YA LUCKY VICENT WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA GARI KARATU MKOANI ARUSHA - Rhevan Media

PICHA ZA WANAFUNZI 32 , WALIMU 2 NA DEREVA MMOJA SHULE YA LUCKY VICENT WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA GARI KARATU MKOANI ARUSHA


==>Hizi ni picha za walimu na wanafunzi waliofariki katika ajali hiyo 
Juzi wanafunzi 32 wa darasa la saba, walimu 2 na dereva wa gari la shule ya msingi iitwayo Lucky Vicent ya Arusha walifariki dunia majira ya saa 3 asubuhi baada ya gari walilokuwa wakisafiria kupata ajali katika eneo Rhotia Marera, Wilaya ya Karatu Mkoani Arusha.


 
Advertisement
==
Previous
Next Post »