Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakizungumza na Mawaziri wa Serikali ya Djibouti (hawapo pichani) walipokutana katika kujadili mambo mbali mbali masuala ya ushirikiano wa kiuchumi baina pande mbili hizo ikiwemo Tanzaniz na Djbouti katika ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) [Picha na Ikulu.]
Waziri wa Ujenzi,Usafirishaji na Mawasiliano mhe,Balozi Ali Abeid Karume (kushoto) na Waziri wa Afya mhe mahmoud Thabit Kombo walipokuwakatika kikao cha pamoja na Mawaziri wa Serikali ya Djiboutiambapo walizungumzia zaidi ushirikiano katika nyanja za kiuchumi walipokuwa katika ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani)[Picha na Ikulu.]
Mawaziri wa Serikali ya Djibouti wakizungumza na Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (hawapo pichani) walipokutana katika kujadili mambo mbali mbali masuala ya ushirikiano wa kiuchumi baina pande mbili hizo ikiwemo Tanzaniz na Djbouti katika ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani)[Picha na Ikulu.]
Sign up here with your email