LIVE : FUATILIA HAPA IBADA YA KUWAAGA WANAFUNZI WALIOFARIKI KATIKA AJALI KARATU - Rhevan Media

LIVE : FUATILIA HAPA IBADA YA KUWAAGA WANAFUNZI WALIOFARIKI KATIKA AJALI KARATU


Leo  Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan anaongoza waombolezaji waliokusanyika katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha kuomboleza vifo vya wanafunzi zaidi ya 30 wa Lucky Vicent waliofariki katika ajali ya gari baada ya basi walilokuwa wanasafiria kutumbika kwenye korongo.



Advertisement
==

Previous
Next Post »