HABARI MBAYA HIVI PUNDE : WANAFUNZI 20 WAHOFIWA KUFA KATIKA AJALI YA BASI KARATU - Rhevan Media

HABARI MBAYA HIVI PUNDE : WANAFUNZI 20 WAHOFIWA KUFA KATIKA AJALI YA BASI KARATU


Wanafunzi zaidi ya 20 wanahofiwa kupoteza maisha katika ajali ya basi iliyotokea wilayani Karatu leo asubuhi.
Habari zinaarifu kuwa , basi hilo limeanguka kabla ya kuingia karatu mjini na kuua watoto wengi .

Inaarifiwa kuwa Wanafunzi hao  ni wa shule inayoitwa Lucky Vicent ya Arusha ambao walikua wanaenda karatu kufanya mitihani ya mashindano na shule za karatu.

Advertisement
==
Previous
Next Post »