AJALI LUSANGA MUHEZ : WATU 4 WAFARIKI DUNIA , 15 WAJERUHIWA rhevanstudio 11:41:00 rhevanstudio Watu 4 wamefariki na 15 kujeruhiwa baada ya basi dogo kugonga lori katika Kijiji cha Lusanga Muheza. Majeruhi wapo Hospitali Teule ya Muheza. Bado tunafatilia Habari kwa kina Tweet Share Share Share Share Sign up here with your email