WATUHUMIWA WA UGAIDI BAADHI WAGOMA KUSHUKA KATIKA GARI LA MAGEREZA - Rhevan Media

WATUHUMIWA WA UGAIDI BAADHI WAGOMA KUSHUKA KATIKA GARI LA MAGEREZA

SAM_0209
Mahabusu
wanaotuhumiwa na ugaidi jijini Arusha leo baadhi yao  wamegomea kushuka katika
gari la magereza
kwa madai
kuwa hawatendewi haki kwa kesi zao kutosikilizwa hali inayowalazimu kukaa
mahabusu kwa muda mrefu bila kujua hatima yao
Watuhumiwa wa ugaidi baadhi yao wakiingia katika gari la magereza baada ya 32 kutii amri ya mahakama
Watuhumiwa wa ugaidi wakiwa katika viwanja vya mahakama leo jijini Arusha

Previous
Next Post »