Dodoma. Gwaride maalum linapita mbele ya Rais John Magufuli sasa hivi katika uwanja wa Jamhuri, Dodoma, katika maadhimisho ya miaka 53 ya Muungano.
Rais aliwasili uwanja wa Jamhuru saa 3:15 akiwa kwenye gari la wazi.
Viongozi mbalimbali wamewasili uwanjani hapo kwa ajili ya sherehe hizo.
Sign up here with your email
