POLISI WAUA WATU WANAODHANIWA KUWA MAJAMBAZI KIBITI - Rhevan Media

POLISI WAUA WATU WANAODHANIWA KUWA MAJAMBAZI KIBITI

Kwa ufupiTokeo la picha la POLISI NA MAJAMBAZI KIBITI
Polisi waua watu wanaodhaniwa kuwa majambazi Kibiti

Mwandishi Wetu, Mwananchi

Pwani. Utata umezuka baada ya kuwepo kwa taarifa za polisi kuua watu sita wanaodaiwa kuwa majambazi wilayani Kibiti.
 Kamanda wa Polisi mkoa wa Pwani, Onesmo Lyanga alisema anafuatilia ukweli wa tukio hilo.
 Mkuu wa Operesheni wa Jeshi la Polisi, Nsatu Marijani, alisema kama taarifa hizo zingekuwa za ukweli basi jeshi hilo lingetoa taarifa.
 Hata hivyo, chanzo kimoja cha habari kutoka wilayani humo kililiambia Mwananchi kuwa polisi imewaua watu sita.
 Pia chanzo hicho kilieleza kuwa milio ya  mabomu na risasi ilisikika katika maeneo kadhaa ya kijiji cha Jaribu , Mpakani, wilayani humo.
 Tutaendelea kukujuza kuhusu taarifa hii.







Previous
Next Post »