Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai amepata ugeni kwa kutembelewa na Wabunge kutoka Bunge la Zambia ambao pia ni wajumbe wa kamati ya Miundombinu kutoka Bunge hilo waliokuja kubadilishana uzoefu na kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakiongozwa na Mhe. Douglas Syakalima, ambae ni Mwenyekiti wa Kamati na Kiongozi wa ujumbe huo katika kikao kilichofanyika leo Ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.
Sign up here with your email